MJUE MWAMVITA MAKAMBA: MSICHANA MDOGO WA KITANZANIA MWENYE CHEO KIKUBWA NA MAENDELEO YA KUIGWA..
Mwamvita Makamba, Ni mtoto wa Muheshima Makamba aliyekuwa mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam , na baadae Mwenyekiti wa CCM kitaifa, Mwamvita ana Masters ya Politics and International Relations na kwasasa ni Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs kampuni ya Vodacom Tanzania.
0 comments:
Post a Comment