Shemeji kaniponza, nina hasira natamani kumpa makonde ....
Mimi ni kijana wa miaka 28 na nimehitimu chuo mwaka huu, na sasa nahangaika na kusaka ajira huku nikimsaidia mzazi kusimamia maduka yake..
Nina rafiki yangu ana demu wake bomba sana na mie nikaapa lazima nimzunguke maana huyo mtoto ni mzuri sana wa sura na shepu ndio usiseme.
Huyo binti kwao maisha ni yataabu kidogo kwa hiyo akawa anamtegemea sana rafiki yetu kumpa fedha za kujikimu na kuilisha famili yake.
wili iliyopita nikamdanganya danganya na kumpa hela kidogo na akakubali jumapili kuwa atanipa mpango mzima. Na kweli jumapili kaja nami nikafanya yanguu na kuachana nae pale hotelini.
Nikawa nikimuona jamaa yangu namcheka kimya kimya maana na binti aliniahidi ataachana na jamaa kwani sasa hampi sana hela.
Sana kuanzia jumanne jioni nikawa nikikojoa mkojo unauma sana na jana hali kiazidi na mkojo ukawa unanuka na usaa unanitoka kwenye uume wangu.
Leo nimeenda kupima naambiwa nina gono nimepigwa sindano za ajabu, na nilipotoka pale nimempigia yule demu na kumind sana sana yaani na nikionana nae nahisi nitampiga sana
Na pia nimemind mshikaji wangu kama alijuwa demu wake anagono si angetuambia marafiki zake???? maana hapa kati aliumwa sana na hakutuambia anaumwa nini.
Sijui mnanishaurije kuhusu huyu rafiki yangu bwege.
0 comments:
Post a Comment