JE WEWE NI MWANAUME..?? JE UNATAMANI MWANAMKE AKUPENDE NA KUKUSIFIA daima...?? BOFYA HAPA NIKUJUZE...

Akisema amekumiss uende home hata kama una party na washkaji mnahave Fun we jifanye mbwiga nenda,shes lonely na anakutaka wewe... Akiomba hela ya Shopping Laki1 we mpe tu hata kama viatu vyako ulinunua buku 20 tena kwa kugombana na Machinga hadi ukamwaga mate kama Mvua.. Wanawake wana endless needs..Zingine zinaboa na kukera jazz band,ila huna jinsi,if you really want to satisfy her,You must be a fool...Akikuamsha amekumiss sa9 usiku amka umbusu,ukijifanya kukoroma kimenuka...Hao ndo Wanawake, WEWE jifanye mjinga 2 utakula mbivu...
0 comments:
Post a Comment